Ummy Ally Mwalimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2010 - 2015, akarudishwa bungeni mwaka 2015. [1]

Mwaka 2017 alikuwa waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. About The Ministry, tovuti ya wizara, iliangaliwa Juni 2017