Naibu Waziri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naibu Waziri ni mtendaji msaidizi wa waziri katika wizara husika.

Katika baadhi ya nchi, k.v. Marekani, Kenya na Ufilipino, naibu kiongozi wa wizara huitwa Naibu Katibu Mkuu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naibu Waziri kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.