Jeremiah Mrimi Amsabi
Mandhari
Jeremiah Mrimi Amsabi, ni mwanasiasa mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Serengeti mnamo mwaka 2020 – 2025. [1] Mwaka 2012 mpaka 2013 alikua meneja wa shule ya sekondari ya Imani. Mnamo mwaka 2011 mpaka 2020 alikua Mhadhiri Msaidizi katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Orodha la wabunge wa Tanzania Ilihifadhiwa 12 Mei 2022 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Aprili 2022
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeremiah Mrimi Amsabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |