Omari Mohamed Kigua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Omari Mohamed Kigua (amezaliwa 25 Juni 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kilindi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017