Nenda kwa yaliyomo

Mansoor Shanif Hirani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mansoor Shanif Hirani (amezaliwa 05.Mei 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kwimba kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mansoor Shanif Hirani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.