Flatei Gregory Massay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Flatei Gregory Massay (alizaliwa 1 Novemba 1972[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbulu Vijijini kwa miaka mitano (20152020) [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://peoplepill.com/people/flatei-massay/
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017