Rashid Abdallah Shangazi
Mandhari
Rashid Abdallah Shangazi (amezaliwa tar. 5 Septemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mlalo kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |