Lucy Thomas Mayenga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucy Thomas Mayenga (amezaliwa tarehe 23 Agosti 1977) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ["Mengi kuhusu Lucy Thomas Mayenga". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-11-04.  Mengi kuhusu Lucy Thomas Mayenga]