Nenda kwa yaliyomo

Asya Mwadini Mohammed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asya Mwadini Mohammed (alizaliwa 1 Aprili 1982) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa mwakilishi wa Viti Maalum vya wanawake ambapo anahudumu kama mbunge tangu mwaka 2020 kwa niaba ya chama cha kisiasa cha CHADEMA, ambacho hata hivyo hakikumkubalia. [1]

  1. "Mdee aivimbia CHADEMA: "Hatuondoki, tumekuzwa Chadema tutapambana hadi mwisho"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-19. Iliwekwa mnamo 2024-05-05.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asya Mwadini Mohammed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.