Liwale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya ya Liwale ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 75,546 [1].

Wenyeji wa sehemu hii ni hasa Wangindo.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Ndani ya wilaya hii kuna kata 20 kama zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Liwale - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Barikiwa | Kiang'ara | Kibutuka | Kimambi | Liwale 'B' | Liwale Mjini | Makata | Mangirikiti | Mihumo | Mirui | Mkutano | Mbaya | Mlembwe | Mpigamiti | Nangano | Ngongowele |


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Liwale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.