Salome Wycliffe Makamba
Jump to navigation
Jump to search
Salome Wycliffe Makamba ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Shinyanga Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1] Ni wakili wa Mahakama Kuu na mahakama za chini yake.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |