Deo Kasenyenda Sanga
Jump to navigation
Jump to search
Deo Kasenyenda Sanga ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Makambako kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |