Makambako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mji Mdogo wa Makambako
Mji Mdogo wa Makambako is located in Tanzania
Mji Mdogo wa Makambako
Mji Mdogo wa Makambako

Mahali pa Makambako katika Tanzania

Majiranukta: 8°51′S 34°50′E / 8.850°S 34.833°E / -8.850; 34.833
Nchi Tanzania
Mkoa Njombe
Wilaya Mji wa Makambako
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 51,049
Makambako.

Makambako ni mji na wilaya katika Mkoa wa Njombe, Tanzania yenye postikodi namba 59113 [1].

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata 8 za Makambako zilikuwa na jumla ya wakazi 93,827[2] walioishi humo.

Makambako ni njiapanda muhimu kusini mwa Tanzania. Barabara za TANZAM (Dar es Salaam - Mbeya) na barabara ya kuelekea Songea - Mtwara zinakutana huko, pamoja na kituo cha reli ya TAZARA.

Hadi mwaka 2012 Makambako yenyewe ilikuwa kata ya Wilaya ya Njombe katika Mkoa wa Iringa. Kwa sasa ni mji wenye hadhi ya halmashauri ukiwa ni kitovu cha biashara mbalimbali na kilimo yakiwamo mazao ya mbao na nafaka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Makambako Mjini - Mkoa wa Njombe - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Kitandililo | Lyamkena | Mahongole | Mjimwema | Mlowa | Mwembetogwa | Ubena | Utengule


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makambako kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.