Wilaya ya Njombe

Wilaya ya Njombe ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Iringa hadi kumegwa kwa mkoa huu mwaka 2012 na kuanzishwa kwa mkoa wa Njombe upande wa kusini.
Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].
Makao makuu ya wilaya na ya mkoa yalikuwepo Njombe Mjini.
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.
![]() |
Kata za Wilaya ya Njombe - Mkoa wa Iringa - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Idamba | Igongolo | Igosi | Ikondo | Ikuka | Ilembula | Imalinyi | Iwungilo | Kidegembye | Kifanya | Luduga | Lupembe | Luponde | Mahongole | Makambako | Matola | Mdandu | Mtwango | Njombe Mjini | Saja | Usuka | Uwemba | Wangama | Wanging'ombe | Yakobi |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |