Makambako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Makambako Mjini)
Jump to navigation Jump to search
Mji Mdogo wa Makambako
Mji Mdogo wa Makambako is located in Tanzania
Mji Mdogo wa Makambako
Mji Mdogo wa Makambako
Mahali pa Makambako katika Tanzania
Majiranukta: 8°51′S 34°50′E / 8.85°S 34.833°E / -8.85; 34.833
Nchi Tanzania
Mkoa Njombe
Wilaya Mji wa Makambako
Idadi ya wakazi
 - 51,049
Makambako


Makambako ni mji na wilaya katika Mkoa wa Njombe, Tanzania yenye postikodi namba 59113 [1]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata 8 za Makambako zilikuwa na jumla ya wakazi 93,827[2] walioishi humo.

Makambako ni njiapanda muhimu katika kusini ya Tanzania. Barabara za TANZAM (Dar es Salaam - Mbeya) na barabara ya kuelekea Songea - Mtwara zinakutana hapa, pamoja na kituo cha reli ya TAZARA.

Hadi mwaka 2012 Makambako penyewe ilikuwa kata ya Wilaya ya Njombe katika Mkoa wa Iringa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Makambako Mjini - Mkoa wa Njombe - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Kitandililo | Lyamkena | Mahongole | Mjimwema | Mlowa | Mwembetogwa | Ubena | Utengule


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makambako kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.