Mariamu Ditopile Mzuzuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mariamu Ditopile Mzuzuri ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ilala kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017