Chato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chato ni kata ya Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,508 waishio humo.[1]

Msimbo wa posta ni 30301. [2]

Chato imekuwa maarufu hasa kama asili ya rais John Magufuli ambaye alielekeza huko pesa nyingi za umma kuiendeleza kwa kila namna [3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bukome | Buseresere | Butengorumasa | Buziku | Bwanga | Bwera | Bwina | Bwongera | Chato | Ichwankima | Ilemela (Chato) | Ilyamchele | Iparamasa | Kachwamba | Kasenga | Katende | Kigongo | Makurugusi | Minkoto | Muganza | Muungano | Nyamirembe | Nyarutembo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.