Dunstan Luka Kitandula
Mandhari
Dunstan Luka Kitandula ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Kitandula anatokea familia ya kisiasa ambapo marehemu baba yake Luka dunstan Kitandula alikuwa mbunge kwa miaka 20, na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Tanga. Dunstan Luka Kitandula amechaguliwa kuwa mbunge wa Mkinga kwa miaka 2010 – 2025. Dunstan Kitandula alikuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ndani ya bunge la Tanzania, makamu mwenyekiti kamati ya fedha na uchumi na naibu waziri wa maliasili na utalii.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dunstan Luka Kitandula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |