Selemani Jumanne Zedi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selemani Jumanne Zedi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bukene kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017