Nenda kwa yaliyomo

Najma Murtaza Giga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Najma Murtaza Giga (amezaliwa tarehe 5 Septemba 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge kupitia kwa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 18 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Najma Murtaza Giga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.