Lindi Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Lindi Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi yenye postikodi namba 651 [1].Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 41,549 [1].

Eneo lake kwa jumla ni manisipaa ya Lindi pamoja na vijiji vya kando.

Wilaya ina kata zifuatazo:


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lindi Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Lindi Mjini - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chikonji | Jamhuri | Kitumbikwela | Makonde | Matopeni | Mbanja | Mikumbi | Mingoyo | Mitandi | Mnazimoja | Msanjihili | Mtanda | Mwenge | Nachingwea | Ndoro | Ng'apa | Rahaleo | Rasbura | Tandangongoro | Wailesi|}

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/lindi.pdf