Ridhiwani Jakaya Kikwete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ridhiwani Jakaya Kikwete (amezaliwa 16 Aprili 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni mtoto wa rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.

Amechaguliwa tena kuwa mbunge wa Chalinze kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017