Boniphace Mwita Getere
Mandhari
Boniphace Mwita Getere (amezaliwa 25 Disemba 1963) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Iramba kuanzia mwaka 1974 hadi 1981 na elimu ya sekondari kuanzia mwaka 1982 hadi mwaka 1985 katika shule ya sekondari ya Arusha Meru. Alisomea diploma yake mnamo (2006-2008) na Shahada mnamo (2008-2011) katika Taasisi ya maendeleo na mipango vijijini. [1] Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bunda kwa miaka 2015 – 2020. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boniphace Mwita Getere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |