25 Desemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 25 Disemba)
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Desemba ni siku ya 359 ya mwaka (ya 360 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 6.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Kwa Wakristo walio wengi 25 Desemba ni sherehe ya Krismasi (au Noeli) inayoadhimisha kuzaliwa kwake Yesu Kristo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anastasia wa Srijem, Eujenia wa Roma, Jovino na Basileo, Alberti Chmielowski n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.