Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki (* 25 Desemba 1931 Mwala (Kenya) ni askofu mkuu mstaafu wa dayosisi kuu ya Nairobi nchini Kenya.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Mwana a'Nzeki alipadrishwa 31 Januari 1961 na askofu John Joseph McCarthy mjini Nairobi. Tar. 29 Mei 1969 alibarikiwa kuwa askofu wa Machakos. Tar 30 Agosti alikuwa askofu wa Nakuru.

1996 aliitwa kuwa msaidizi wa askofu mkuu wa Nairobi kardinali Maurice Otunga akamfuata Otunga katika nafasi ya askofu mkuu tar. 21 Aprili 1997.

Baada ya kutimiza umri wa miaka 75 alistaafishwa na Papa Benedikto XVI akifuatwa na John Njue aliyewahi kuwa msaidizi wake huko Nakuru.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]