Gerhard Herzberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerhard Herzberg, London 1952
Tuzo Nobel.png

Gerhard Herzberg (25 Desemba 19043 Machi 1999) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1935 alihamia Kanada. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerhard Herzberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.