Sagini Jumanne Abdallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sagini Jumanne Abdallah (alizaliwa 4 Februari 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Butiama kwa miaka 20202025. [1] Kielimu yeye ni mwalimu. Tangu mwaka 2022 aliteuliwa kuwa naibu waziri wa mambo ya ndani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017