Wilaya ya Moshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Moshi Vijijini)

Kwa maana tofauti ya jina hili angalia makala ya maana Moshi

Mahali pa Moshi Vijijini (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wilaya ya Moshi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kilimanjaro.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 466,737. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 535,803 [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Moshi Vijijini - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania

Arusha Chini | Kahe Magharibi | Kahe Mashariki | Kibosho Kati | Kibosho Kirima | Kibosho Magharibi | Kibosho Mashariki | Kibosho Okaoni | Kilema Kaskazini | Kilema Kati | Kilema Kusini | Kimochi | Kindi | Kirua Vunjo Kusini | Kirua Vunjo Magharibi | Kirua Vunjo Mashariki | Mabogini | Makuyuni | Mamba Kaskazini | Mamba Kusini | Marangu Magharibi | Marangu Mashariki | Mbokomu | Mwika Kaskazini | Mwika Kusini | Njia Panda | Old Moshi Magharibi | Old Moshi Mashariki | Uru Kaskazini | Uru Kusini | Uru Mashariki | Uru Shimbwe


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Moshi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.