Ahmed Mabukhut Shabiby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ahmed Mabukhut Shabiby ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Gairo kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017