Mohamed Omary Mchengerwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mohamed Omary Mchengerwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Rufiji kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017