Joseph George Kakunda
Mandhari
Joseph George Kakunda (amezaliwa 15 Septemba 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Sikonge kwa miaka 2015 – 2020. [1] Ameteuliwa na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuanzia tarehe 10 Novemba 2018, na kuapishwa tarehe 12 Novemba 2018.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph George Kakunda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |