Esther Matiko
Mandhari
(Elekezwa kutoka Esther Nicholus Matiko)
Esther Matiko (amezaliwa tarehe 24 Novemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama pinzani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tarime Mjini kwa miaka mitano (2015 - 2020.)[1] Ndio mbunge wa kwanza wa mwanamke kuongoza jimbo la Tarime. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Profile: Hon. Esther Nicholus Matiko". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 17, 2016. Iliwekwa mnamo Oktoba 20, 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://millardayo.com/tarimedec2015/
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Esther Matiko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |