Bukoba Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Bukoba Vijijini (kijani) katika mkoa wa Kagera.

Wilaya ya Bukoba Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera wenye postikodi namba 35200 [1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 289,697 [2].

Mwaka 2007 wilaya mpya ya Misenyi iliundwa kutokana na maeneo ya awali ya Bukoba vijijini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba District Council
Kata za Wilaya ya Bukoba Vijijini - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Buhendangabo | Bujugo | Butelankuzi | Ibwera | Izimbya | Kaagya | Kaibanja | Kanyangereko | Karabagaine | Kasharu | Katerero | Katoma | Katoro | Kemondo | Kibirizi | Kikomero | Kishanje | Kishogo | Kyamulaile | Maruku | Mikoni | Mugajwale | Nyakato | Nyakibimbili | Rubafu | Rubale | Ruhunga | Rukoma


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukoba Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.