Kilolo
Mandhari
Kilolo ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Walolo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilolo imehesabiwa kuwa watu 162,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilolo iko katika kundi la P30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilolo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilolo Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilolo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/llb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |