Nenda kwa yaliyomo

Cecil David Mwambe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecil David Mwambe ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM alipohamia kutoka CHADEMA.

Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ndanda kwa miaka 20152020. Baada ya kuhamia CCM alichaguliwa tena kuongoza jimbo hilo kwa mwaka 2020-2025.

    Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Cecil David Mwambe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.