Nungwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchanga mweupe kwenye ufuko wa bahari wa Nungwi ni kati ya vivutio vya watalii

Nungwi ni kata ya Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, Tanzania yenye Postikodi namba 73107.[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 7,916 waishio humo. [2]

Nungwi inajulikana pia kama "Ras Nungwi" maana inapatikana kwenye rasi iliyo ncha ya kaskazini ya kisiwa cha Unguja. Katika miaka tangu mnamo mwaka 2000 Nungwi imekuwa moja kati ya vitovu vya utalii vya Unguja.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nungwi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigunda | Kijini | Kikobweni | Kilimani | Kilindi | Kinyasini | Kisongoni | Kivunge | Matemwe | Mchenza Shauri | Mkokotoni Unguja | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Muwange | Nungwi | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Tumbatu Gomani | Tumbatu Jongowe | Uvivini