Hamisi Andrea Kigwangalla
Mandhari
Mheshimiwa Hamisi A. Kigwangalla Mb | |
Waziri wa Maliasili na Utalii
| |
Aliingia ofisini 7 Octoba 2017 | |
mtangulizi | Jumanne Maghembe |
---|---|
Mbunge wa Nzega
| |
Aliingia ofisini November 2010 | |
mtangulizi | Lucas Selelii |
tarehe ya kuzaliwa | 7 Agosti 1975 |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
ndoa | Bayoum Awadh |
mhitimu wa | Muhimbili University of Health and Allied Sciences (M.D.) Karolinska Institutet (M.P.H.) Blekinge Institute of Technology (MBA) |
Fani yake | Daktari wa Binadamu |
tovuti | hamisikigwangalla.com |
Hamisi Andrea Kigwangalla (amezaliwa 7 Agosti 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nzega Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Juni 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |