Nzega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya Nzega ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 417,097 [1].

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nzega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.