Luhaga Joelson Mpina
Jump to navigation
Jump to search
Mhe. Luhaga Mpina Mb | |
![]() | |
Waziri wa Mifugo na Uvuvi
| |
Aliingia ofisini Octoba 2017 | |
Rais | Mhe. Dkt. John Magufuli |
---|---|
Mbunge wa Kisesa
| |
Aliingia ofisini Decemba 2005 | |
tarehe ya kuzaliwa | 5 Mei 1975 |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Mzumbe (B.Acc) Chuo Kikuu cha Strathclyde (MSc) |
Luhaga Joelson Mpina (amezaliwa tar. 5 Mei 1975) ni mbunge wa jimbo la Kisesa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Mengi kuhusu Luhaga Joelson Mpina (21 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |