George Huruma Mkuchika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

George Huruma Mkuchika (amezaliwa tar. 6 Oktoba 1948) ni mbunge wa jimbo la Newala katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Aliingia bungeni mwaka 2010 akarudishwa mwaka 2015.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu George Huruma Mkuchika (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017