Nenda kwa yaliyomo

Zuberi Mohamedi Kuchauka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zuberi Mohamedi Kuchauka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Liwale kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017