Bernadeta Kasabago Mushashu
Mandhari
Bernadeta Kasabago Mushashu (alizaliwa 18 Agosti 1953 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.
Ameandika kitabu kijulikanacho kama Girls and Secondary Schoool Physics in Tanzania. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://peoplepill.com/people/bernadeta-mushashu/
- ↑ https://books.google.co.tz/books/about/Girls_and_Secondary_School_Physics_in_Ta.html?id=D5X2SgAACAAJ&redir_esc=y
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernadeta Kasabago Mushashu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |