Maida Hamad Abdallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maida Hamad Abdallah (amezaliwa tarehe 17 january 1975) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu 2005.amepata Ubunge mara 5 kuanzia 2005 mpaka 2020.ana watoto watatu,wawili wa kike mmoja wa kiume

Chanzo[hariri | hariri chanzo]