Nenda kwa yaliyomo

Hamida Mohamedi Abdallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hamida Mohamedi Abdallah (amezaliwa 28 Juni 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa miaka 20152020. [1] Mwaka 2020 alirudi bungeni kama mbunge wa Lindi Mjini.

Aliwahi kufanya kazi kama mtumishi wa Umoja wa Wanawake wa CCM na katika halmashauri ya Lindi kabla ya kuingia bungeni.

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamida Mohamedi Abdallah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.