Wilaya ya Musoma Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Musoma Vijijini)
Mahali pa Musoma Vijijini (kijani) katika mkoa wa Mara.

Wilaya ya Musoma Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara yenye postikodi namba 31200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 330,953 [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Musoma vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bugwema | Buhemba | Bukabwa | Bukima | Bukumi | Buruma | Buswahili | Butiama | Butuguri | Bwasi | Bwiregi | Etaro | Kiriba | Kukirango | Kyanyari | Makojo | Masaba | Mugango | Murangi | Muriaza | Nyakatende | Nyambono | Nyamimange | Nyamrandirira | Nyankanga | Suguti | Tegeruka


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Musoma Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Kuna wilaya mpya ya Butiama


Wilaya mpya ya Murangi katika mkoa wa Mara