Nenda kwa yaliyomo

Nyamrandirira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyamrandirira ni kata ya Wilaya ya Musoma Vijijini katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31215.

Kata ya Nyamrandirira inaundwa na vijiji vifuatavyo: Mikuyu, Seka, Kasoma, Kaboni na Chumwi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 17,611 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,705 waishio humo.[2]

Kata za Musoma Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania

Bugoji | Bugwema | Bukima | Bukumi | Bulinga | Busambara | Bwasi | Etaro | Ifulifu | Kiriba | Makojo | Mugango | Murangi | Musanja | Nyakatende | Nyambono | Nyamrandirira | Nyegina | Rusoli | Suguti | Tegeruka


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyamrandirira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.