Agnes Mathew Marwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Agnes Mathew Marwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017