Khamis Kassim Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khamis Kassim Ali (Amezaliwa 20 Agosti 1978) ni mwanasiasa mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Wawi kwa miaka 20202025. [1] Mnamo mwaka 2011 mpaka 2020 alikua Inspekta mkuu wa vyombo vya usafiri - ChakeChake kwenye wizara ya miundombinu, mawasiliano na usafirishaji ya Zanzibar.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Orodha la wabunge wa Tanzania, iliangaliwa Aprili 2022