Aida Joseph Khenani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Aida Joseph Khenani (amezaliwa tarehe 20 Januari 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017