Josephine Tabitha Chagulla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Josephine Tabitha Chagulla (amezaliwa tarehe 26 Februari 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017